Mwamuzi mwanamama Salome Di Lorio huenda wakati huu akawa
anajiuliza mara mbilimbili aendelee na kibarua chake hicho ama ageukie fani
nyingine ili kulinda afya na uhai wake baada ya kuponea chupu chupu kutolewa
roho na shuti kali la mpira wa adhabu.
Salome ambaye alikuwa akichezesha mchezo wa ligi za madaraja
ya chini nchini Argentina kati ya Liniers na Centro Espanol alipigwa na shuti kali
la mpira wa adhabu sehemu za usoni na kupoteza fahamu kwa dakika kadhaa kabla
ya kukimbizwa hospitalini kupatiwa matibabu zaidi
0 comments:
Post a Comment