728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, October 08, 2014

    WATATU WAITWA KUONGEZA NGUVU STARS

    Taifa Stars inajianda kukabiliana na Benin katika mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)  itakayofanyika Jumapili (Oktoba 12 mwaka huu) jijini Dar es Salaam

    .

    Wachezaji walioongezwa ni kiungo Jonas Mkude na mlinzi Joram Mgeveke kutoka timu ya Simba, pamoja na mlinzi Gadiel Michael wa Azam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: WATATU WAITWA KUONGEZA NGUVU STARS Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top