728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, October 29, 2014

    SONG:MOYO WANGU UKO EPL

    Kiungo wa klabu ya West Ham Alex Song amefunguka na kusema kuwa anafikiria kubaki katika ligi ya Epl pindi mkataba wake wa mkopo utakapoisha mwezi mei mwakani.

    Song ambaye ni miongoni mwa wachezaji wapya wa West Ham inayonolewa na kocha Sam Allardyce ambayo kwa sasa iko katika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi imepoteza mchezo mmoja tu kati ya sita aliyocheza kiungo huyo wa zamani wa klabu ya Arsenal.

    Song amesema ``Nadhani maisha yangu yataendelea kuwa hapa.Ndugu zangu,familia yangu wote wanafurahia kuwa hapa.

    Kila mara nimekuwa nikisisitiza kuwa moyo na soka langu viko England.

    Song alihama Arsenal mwaka 2012 na kufanikiwa kucheza michezo 39 tu huku msimu uliopita akishuka dimbani mara 19 pekee baada ya kushinda kujihakikishia namba katika kikosi cha miamba hiyo ya Catalunya.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SONG:MOYO WANGU UKO EPL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top