Kwa mujibu wa kituo cha ESPN hiki ndicho kikosi cha wachezaji (XI) waliofanya vizuri wikendi iliyopita katika ligi ya EPL.
Golikipa:Hugo Lloris (Tottenham)
Walinzi:Kyle Walker (Tottenham),Virgil van Dijk (Southampton),Chris Smalling (Manchester United)
Viungo:Erik Lamela (Tottenham),James Milne (Liverpool),Eric Dyer (Tottenham),Alexis Sanchez (Arsenal)
Washambuliaji:Jamie Vardy (Leceister City),Daniel Sturridge (Liverpool),Ayoze Perez (Newcastle United)
Kocha:Steve McClaren (Newcastle United)
0 comments:
Post a Comment