Bosi wa timu ya Taifa ya Argentina Gerardo Martino ameita kikosi cha wachezaji 28 kwa ajili michezo ya mwezi ujao ya kusaka tiketi ya kushiriki michuano ijayo ya kimbe la dunia la mwaka 2018.
Katika kikosi hicho chenye sura mpya nyingi Martino amemtema mshambuliaji mkongwe Gonzalo Higuain na kuwaita mshambuliaji makinda Paul Dybala (Juventus),Mauro Icardi (Inter Milan) na Luciano Vietto (Atletico Madrid).
Paulo Dybala |
Makipa: Nahuel Guzman (Club Tigres), Agustin Marchesin (Santos Laguna), Sergio Romero (Manchester United).
Walinzi: Milton Casco (River Plate), Martin Demichelis (Manchester City), Ramiro Funes Mori (Everton), Ezequiel Garay (Zenit), Emmanuel Mas (San Lorenzo), Nicolas Otamendi (Manchester City), Marcos Rojo (Manchester United), Facundo Roncaglia (Fiorentina), Pablo Zabaleta (Manchester City).
Viungo: Ever Banega (Sevilla), Lucas Biglia (Lazio), Matias Kranevitter (River Plate), Javier Mascherano (Barcelona), Javier Pastore (PSG), Roberto Pereyra (Juventus), Enzo Perez (Valencia).
Washambuliaji: Sergio Aguero (Manchester City), Angel Correa (Atletico Madrid), Angel Di Maria (PSG), Paulo Dybala (Juventus), Nicolas Gaitan (Benfica), Ezequiel Lavezzi (PSG), Lionel Messi (Barcelona), Carlos Tevez (Boca Juniors).
0 comments:
Post a Comment