Baada ya michezo ya jumamosi na jumapili ya ligi ya England kifuatacho ni kikosi cha wachezaji XI waliofanya vizuri hii ni kwa mujibu wa ESPN.
Mlinda mlango:Adrian (Westham)
Walinzi:Kurt Zouma (Chelsea), Winston Reid (Westham),Simon Francis (Bournemouth),Cesar Azpilicueta (Chelsea).
Viungo:Etienne Capoue (Watford),Matt Ritchie (Bournemouth),Cesc Fabregas (Chelsea)
Washambuliaji:Antony Martial (Manchester United),Kevin De Bruyne (Manchester City),Odion Ighalo (Watford).
Kocha:Slaven Bilic
0 comments:
Post a Comment