728x90 AdSpace

Friday, September 18, 2015

EUROPA LIGI:LIVERPOOL YABANWA,SPURS,DORTMUND ZAAFANYA MAUAJI

Michuano ya Europa ligi imeanza rasmi kwa msimu wa 2015-2016 huku ikishudia timu za Tottenham,Schalke na Borrusia Dortimund wakianza kwa ushindi.

Tottenham wakiwa nyumbani kwenye dimba la White hart lane waliibuka na ushindi wa mabao 3 – 1 dhidi ya FK Qarabag.

Apoel Nicosia wakiwa wenyeji wa Schalke walikubali kuchapwa kwa 3-0, wajerumani wa Borrusia Dortmund wakashinda kwa mabao 2 – 1 dhidi ya FK Krasnodar.

Matokeo mengine ya michuano hizo ni kama ifuatavyo....

Ajax 2 – 2 Celtic
Bordeaux 1 – 1 Liverpool
Fenerbahçe 1 – 3 Molde
Anderlecht 1 – 1 Monaco
Asteras Tripolis 1 – 1 Sparta Prague
Ath Bilbao 3 – 1 FC Augsburg
Partizan Belgrade 3 – 2 AZ Alkmaar
FC Sion 2 – 1 Rubin Kazan
FK Qabala 0 – 0 PAOK Salonika

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: EUROPA LIGI:LIVERPOOL YABANWA,SPURS,DORTMUND ZAAFANYA MAUAJI Rating: 5 Reviewed By: Unknown