Baada ya hekaheka za siku mbili za michuano ya hatua ya makundi kumalizika Soka Extra ikishirikiaba na BBC inakuletea kikosi bora cha wiki ambacho kwa kiasi kikubwa kimetawaliwa na Paris Saint Germain iliyotoa nyota wanne.
GOALKEEPER - Johan Wiland (Malmo)
Walinzi:Gregory van der Wiel (Paris St-Germain),Thiago Silva (Paris St-Germain),David Alaba (Bayern Munich),Maxwell (Paris St-Germain)
Viungo:Julian Draxler (Wolfsburg),Cesc Fabregas (Chelsea) Angel Di Maria (Paris St-Germain)
Washambuliaji: Hakan Calhanoglu (Bayer Leverkusen),Cristiano Ronaldo (Real Madrid),Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
0 comments:
Post a Comment