Ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena leo kwa viwanja saba kushuhudia michezo mikali ya kusaka ufalme wa soka la Tanzania bara.
Ratiba kamili iko kama ifuatavyo......
Yanga SC vs Prisons
JKT Mgambo vs Simba SC
Stand United vs Azam FC'
Mbeya City vs JKT Ruvu
Majimaji vs Kagera Mtibwa Sugar FC
Toto Africans vs Mtibwa Sugar
Ndanda vs Coastal Union
0 comments:
Post a Comment