Baada ya kupangwa kwa makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) siku kadhaa nyuma, September
15 na 16 ni siku ambazo michezo ya hatua ya makundi ya mechi hizo zitaanza kuchezwa.
Kama kawaida muda wa michuano hiyo haujabadilika upo kama tulivyozoea mechi zote za September 15 na 16 zitachezwa saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki.
Hii ni ratiba ya mechi za September 15 na 16.
Kundi A
Paris Saint Germain Vs Malmoe FF
Real Madrid Vs Shaktar Donetsk
Kundi B
PSV Eindhoven Vs Manchester United
Wolfsburg Vs CSKA Moscow
Kundi C
Benfica Vs FC Astana
Galatasaray Vs Atletico Madrid
Kundi D
Manchester City Vs Juventus
Sevilla Vs Borussia
Moenchengladbach
Mechi za September 16
Kundi E
Bayer Leverkusen Vs BATE Borisov
Roma Vs FC Barcelona
Kundi F
Dinamo Zagreb Vs Arsenal
Olympiakos Vs Bayern Munich
Kundi G
Chelsea Vs Maccabi Tel Aviv
Dynamo Kyiv Vs FC Porto
Kundi H
Gent Vs Lyon
Valencia Vs Zenit St Petersburg
0 comments:
Post a Comment