728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, September 17, 2015

    HUZUNI:SHABIKI NAMBA MOJA WA SOKA DUNIANI AFARIKI DUNIA


    Rio de Janeiro,Brazil.

    Kama wewe ni shabiki mkubwa wa soka hasa la nchi ya Brazil bila shaka utakuwa umewahi kumuona shabiki huyu pichani mwenye mustachi mkubwa akionekana mara kwa mara katika luninga yako akiwa na kombe linalofanana na lile la dunia.Sasa shabiki huyo hutomuona tena.

    Habari kutoka nchini Brazil zinasema shabiki namba moja wa timu yake ya taifa Clovis Acosta Fernandes amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60
    Tokeo la picha la clovis acosta fernandes
    Fernandes "Gaucho da Copa" aliyefikwa na umauti katika Hospitali ya Santa Casa iliyoko Porto Alegre. ameshuhudia zaidi ya michezo 150 ya timu ya taifa ya Brazil katika mataifa 60 katika fainali 7 za kombe la dunia.
    Tokeo la picha la clovis acosta fernandes
    Fernandes akilia baada ya Brazil kufungwa bao 7-1 na Ujerumani
    KITUKO
    Fernandes aliacha kazi ya kuuza pizza kwa ruhusa ya mke wake ili aweze kuifuata timu ya taifa ya Brazil kokote ilikokuwa ikienda kucheza.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HUZUNI:SHABIKI NAMBA MOJA WA SOKA DUNIANI AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top