HAFAI.Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane ndiye mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi kuliko mchezaji yoyote yule katika ligi kuu ya nchini England kwa mwaka 2015.Bao lake dhidi ya Manchester City jana jumamosi limekuwa la 17.
Kane ambaye kabla ya kufunga hilo alikuwa ameshindwa kufunga bao lolote lile katika michezo minane mfululizo hiyo ikiwa ni sawa na dakika 640 za ukame.
Vilabu vilivyofunga mabao mengi msimu huu 2015/16
Leicester (15)
West Ham (15)
Man City (13)
Man United (12)
Wachezaji wanaoongoza kwa kufunga mabao msimu huu England 2015/16
J. Vardy (6) -Leceister City
R. Mahrez (5) -Leceister City
C. Wilson (5) -Bournemouth
B. Gomis (4) -Swansea City
O. Ighalo (4) -Watford
G. Pelle (4) -Southampton
0 comments:
Post a Comment