Klabu ya Villarreal ilitumia usiku wa jana kumuaga mlinzi wake mahiri Gabriel Paulista anayekwenda klabu ya Arsenal kwa staili ya aina yake.
Villarreal ilitumia dakika chache kabla ya mchezo dhidi ya Levate kuwatangazia mashabiki wake katika dimba la El Madrigal kuwa imekubali kumuuza Gabriel kwa dau la €14.5m kwenda klabu ya Arsenal huku ikimtangaza kinda Joel Campbell kuwa mbioni kutua klabuni hapo kwa mkopo.
Tazama picha jinsi wachezaji wa Villarreal walivyomuaga mwenzao....
0 comments:
Post a Comment