London,England.
Ligi kuu ya England maarufu kama EPL leo itaendelea tena kutimua vumbi lake kwa miamba 16 kushuka dimbani huku mtanange mkubwa wa siku ukiwa ni hapo saa 2:30 ambapo Chelsea itawakaribisha Manchester City.
Ratiba kamili iko kama ifuatavyo...
Leo jumamosi 31 Jan 2015
Hull v Newcastle 9:45
Crystal Palace v Everton 12:00
Liverpool v West Ham 12:00
Man Utd v Leicester 12:00
Stoke v QPR 12:00
Sunderland v Burnley 12:00
West Brom v Spurs 12:00
Chelsea v Man City 2:30
Kesho jumapili
Arsenal v Aston Villa 10:30
Southampon v Swansea City 1:0
0 comments:
Post a Comment