Kutoka ndani ya chama cha soka cha Ivory Coast (FA) taarifa zinasema klabu ya Manchester City imefanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji hatari wa nchi hiyo anayekipiga katika klabu ya Swansea City Wilfred Bony (26).
Habari zaidi zinasema Swansea City imekubali rasmi leo jumatano ofa ya Manchester City ya £28m na tayari inafikiria kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Newcastle United
Papis Demba Cisse kuchukua nafasi ya nyota huyo aliyefunga mwaka 2014 akiwa kinara wa mabao katika ligi ya Uingereza baada ya kupachika mabao 20.
Papis Demba Cisse kuchukua nafasi ya nyota huyo aliyefunga mwaka 2014 akiwa kinara wa mabao katika ligi ya Uingereza baada ya kupachika mabao 20.
Ikiwa ni idadi kubwa kuliko washambuliaji wote wa ligi hiyo maarufu zaidi duniani na inayosifika kwa ugumu na matokeo ya ajabu ajabu
0 comments:
Post a Comment