London,England.
Klabu ya Chelsea imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa Stamford blidge baada ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 na klabu ya Manchester City katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu.
Goli la Chelsea lilifungwa na mshambuliaji Loic Remmy katika dakika ya 41 ya mchezo kabla ya Manchester City kusawazisha kwa goli la dakika ya 45 la kiungo David Silva.
Vikosi vilikuwa kama ifuatavyo..
Chelsea: Courtois; Ivanovic,Zouma, Terry,Azpilicueta; Ramires, Matic; Willian (Drogba,81′), Oscar (Loftus-Cheek, 90+3′), Hazard;Remy (Cahill, 87′)
Manchester City: Hart, Sagna, Kompany,Demichelis, Clichy, Navas, Fernando (Lampard,77′), Fernandinho, Milner, Silva (Jovetic, 90′),Aguero (Dzeko, 84′)
Matokeo mengine....
Manchester United 3-1 Leceister City
Crystal Palace 0-1 Everton
Liverpool 2-0 Westham
West Brom 0-3 Tottenham
Hull City 0-3 Newcastle City
Sunderland 2-0 Burney
Stoke City 3-1 QPR
Kesho jumapili
Arsenal v Aston Villa (10:30)
Southampton v Swansea City (1:00)
0 comments:
Post a Comment