728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, January 13, 2015

    UCHAMBUZI:FAINALI MTIBWA V SIMBA

    KWA TAARIFA YAKO::
    MAPINDUZI CUP: FINAL
    MTIBWA vs SIMBA
    20:15

    Leo ndo leo ktk dimba la Aman kuleee ktk kisiwa cha Unguja ambapo wana wa Turiani Mtibwa sugar wata wakabiri wana wa Msimbazi Simba sc ktk fainali ya kombe la mapinduzi. Kuelekea katika mchezo huo Mtibwa itakuwa ikicheza fainali ya nne ya Mapinduzi huku ikihitaji kulipa kisasi cha kupoteza fainali ya mwaka 2008 mbele ya Simba.

    Sio hivyo tu bali kocha wa sasa wa Mtibwa Mecky Mexime ambaye alicheza fainali tatu akiwa kama mchezaji na kuchukua ubingwa 2010 akiwa kama captain leo hii atahitaji kuweka historia kwa kuchukua ubingwa huo akiwa kama kocha.
    Pia kumbuka Mexime amekuwa akifanya vyema pindi akikutana na Simba kwani kasha fungwa mara 1 tu na Simba huku michezo ya hivi karibuni minne akishinda miwili na kudroo miwili.

    Je leo ataendeleza records yake mbele ya Simba..? 
    GORAN KAPONOVIC
    Kocha mpya wa Simba huyu ambaye mpaka sasa Simba ikiwa chini yake ameshuhudia safu yake ya ulinzi ikicheza kwa dakika 360 pasipo kuruhusu bao huku safu ya mashambulizi ikifunga 7. Lakini kikosi cha leo cha Simba kitachagizwa na urejeo wa Okwi alie kuwa mapumzikoni pia wana Simba wata taraji makubwa kutoka kwa Messi ambaye katika hatua ya robo fainal na nusu fainal ameonesha uwezo mkubwa.

    Simba Mabingwa 2 wa kihistoria ambao watakuwa wakicheza fainali ya 5. Tusubiri tuone ni wana msimbazi au wana turiani..?
    Choikangata.ckt@gmail.com
    T's up-0765 691418
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: UCHAMBUZI:FAINALI MTIBWA V SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top