728x90 AdSpace

Thursday, January 22, 2015

CHELSEA YAMKOSA JUAN QUADRADO

London,England.

Klabu ya Chelsea imeamua kumgeukia winga mahiri wa klabu ya Shaktar Donestik Mbrazil Douglas Costa baada ya kushindwa dau la winga wa Fiorentina Juan Quadrado.

Chelsea imefikia hatua hiyo baada ya kushindwa kukubaliana bei na klabu ya Fiorentina juu ya winga wake Mcolombia Juan Quadrado.

Fiorentina inahitaji £26.3m ili ipate kumuachie nyota huyo aliyetamba katika fainali zilizopita za kombe la dunia badala yake Chelsea imefungua mazungumzo ya kumtaka Douglas mwenye thamani ya £16m.

Ikiwa Douglas atatua Chelsea ataungana na mchezaji mwenzie wa zamani katika klabu ya Shaktar,Willian.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: CHELSEA YAMKOSA JUAN QUADRADO Rating: 5 Reviewed By: Unknown