St Louis,Marekani.
LIVERPOOL imehitimisha vibaya ziara yake ya michezo ya kujipima nchini Marekani baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1toka kwa AS Roma katika mchezo Wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa Alfajiri ya leo katika Uwanja wa Busch Stadium ulioko St Louis.
AS Roma imepata mabao yake kupitia kwa Edin Džeko dakika ya 29' pamoja na Mohamed Salah dakika ya 62' huku kinda Sheyi Ojo akiifungia bao pekee Liverpool dakika ya 45'.
VIKOSI
Roma XI: Alisson, Florenzi, Manolas,Jesus, Emerson, Paredes, Nainggolan,Strootman, Salah, Dzeko, El Shaarawy.
Liverpool XI: Manninger, Clyne,Lovren, Klavan, Milner, Can, Wijnaldum, Ojo,
Mane, Firmino, Sturridge.
0 comments:
Post a Comment