728x90 AdSpace

Tuesday, August 11, 2015

UNAIJUA KAZI NYINGINE YA KIPA WA EVERTON TIM HOWARD?INGIA HAPA UJUE MENGI


Tim Howard mlinda mlango tegemeo wa Everton ameendelea kuonyesha viapaji vyake vingine baada ya hivi karibuni kuitangazia dunia kuwa mbali ya kuwa mahiri katika kudaka michomo ya washambuliaji hatari katika ligi kuu ya England pia ni msanii mkali wa kuchora michoro katika miili ya binadamu [Tattoo]
                                                        Howard akimuhudumia mteja wake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: UNAIJUA KAZI NYINGINE YA KIPA WA EVERTON TIM HOWARD?INGIA HAPA UJUE MENGI Rating: 5 Reviewed By: Unknown