728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 31, 2015

    ROY HODGSON AWATEMA HENDERSON,WILSHERE KIKOSI CHA ENGLAND,AMUITA JONJO SHELVEY

    Kocha wa England Roy Hodgson amewatema viungo majeruhi Jack Wilshere wa Arsenal na Jordan Henderson wa Liverpool katika kikosi cha nyota 22 kitakachovaana na San Marino na kisha Uswisi katika kinyang'anyiro cha kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya Euro 2016.

    Pia Hodgson ameongeza sura mpya katika kikosi hicho baada ya kuwaita Jamie  Vardy,Jonjo Shelvey na Ryan Mason.

    Kikosi kamili
    Makipa: Joe Hart (Manchester City), Jack Butland (Stoke City), Tom Heaton (Burnley).

    Walinzi: Nathaniel Clyne (Liverpool), Luke Shaw (Manchester United), Kieran Gibbs (Arsenal), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United), John Stones, Phil Jagielka (Both Everton).

    Viungo: Michael Carrick (Manchester United), James Milner (Liverpool), Ross Barkley (Everton), Jonjo Shelvey (Swansea), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Raheem Sterling, Fabian Delph (Both Manchester City), Ryan Mason (Tottenham).

    Washambuliaji: Wayne Rooney (Manchester United), Harry Kane (Tottenham), Jamie Vardy (Leicester), Theo Walcott (Arsenal).

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ROY HODGSON AWATEMA HENDERSON,WILSHERE KIKOSI CHA ENGLAND,AMUITA JONJO SHELVEY Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top