728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 31, 2015

    HATARI SANA:MAN UNITED YAAMBIWA TUPENI €60M PAMOJA NA ROJO TUWAPE JEMBE

    Manchester,England.

    "Manchester United inahitaji mshambuliaji mpya.Hilo liko wazi.Je,anatoka wapi,anaitwa nani?Jibu bado gumu.Usajili unafungwa kesho jumanne."

    Sasa sikia hii.Manchester United imeambiwa na AS Monaco itabidi itoe angalau  €60m kwa ajili ya kumpata mshambuliaji wake kinda Anthony Martial wakati huo huo wakimjumuisha na mlinzi Marcos Rojo vinginevyo dili lolote lile halitafanyika.

    Kutoka Monaco taarifa zinadai klabu hiyo ya Ufaransa inamtaka Rojo ili kuimarisha safu yake ya ulinzi huku ikiwa haiko tayari kumuuza Martial kwa dau la chini ya €60m.

    Martial,19 ameichezea AS Monaco michezo 48 na kufunga magoli 12.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HATARI SANA:MAN UNITED YAAMBIWA TUPENI €60M PAMOJA NA ROJO TUWAPE JEMBE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top