728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 31, 2015

    DONE DEALS:DANTE,JANUZAJ WAONGOZA MASTAA KIBAO KUHAMIA VILABU VIPYA LEO

    Draxler:Wolfsburg wamemsajili winga Julian Draxler toka kwa wapinzani wao wakubwa Schalke kwa kitita cha €35.Draxler amesaini mkataba wa miaka mitano wa kukipiga Lower Saxon.
              
    Borrini:Sunderland imemsajili mshambuliaji Fabio Borrini toka Liverpool kwa kitita cha paundi milioni 8.Borrini amesaini mkataba wa miaka minne.

                     
    Dante:VfL Wolfsburg imemsajili mlinzi Mbrazil  Dante toka Bayern Munich na kumpa mkataba wa miaka mitatu utakaokoma mwaka 2018.Dante,31  ametua Wolfsburg baada ya kushindwa kupata namba katika kikosi cha Pep Guardiola.Ada ya usajili imefanywa siri.Hivi hapa vilabu alivyowahi kupita Dante,AE Catuense, Galicia EC Bahia, Capivariano FC, EC Juventude, OSC Lille, RSC Charleroi, Standard Liege, Borussia Mönchengladbach, Bayern Munich.

    Inter Milan seal Felipe Melo transfer from Galatasaray
    Melo:Kiungo Felipe Melo amejiunga na Inter Milan akitokea Galatasaray kwa ada ya  3.5m

    Tokeo la picha la ivan perisic
    Inter Milan imemsajili winga wa Vfl Wolfsburg Ivan Perisic kwa mkataba wa miaka mitano utakaoisha mwaka 2020.
    Embedded image permalink
    Januzaj:Adnan Januzaj ameihama Manchester United na kujiunga na Borussia Dortmund kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja.


     AS Roma imemsajili kiungo  toka Dinamo Moscow ya Urusi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DONE DEALS:DANTE,JANUZAJ WAONGOZA MASTAA KIBAO KUHAMIA VILABU VIPYA LEO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top