728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, August 27, 2015

    MESSI AWABWAGA RONALDO,SUAREZ TUZO YA MCHEZAJI BORA ULAYA,GOLI LAKE DHIDI YA BAYERN PIA LATWAA TUZO

    Lionel Messi ametwaa tena tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya 2014-2015 baada ya kuwabwaga Cristian Ronaldo na Luis Suarez katika kura zilizopigwa jioni ya leo.

    Messi ameitwaa tuzo hiyo baada ya kuifungia FC Barcelona jumla ya magoli 58 huku pia akiisaidi kutwaa mataji matatu makubwa ambayo ni La Liga,Copa del Rey na  Champions League.

    Mbali ya tuzo hiyo pia Messi ametwaa tuzo nyingine baada ya goli lake alilofunga April 6 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza uliopigwa Nou Camp kuchaguliwa kuwa goli bora mbele ya Ronaldo,Ramsey na Neymar.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MESSI AWABWAGA RONALDO,SUAREZ TUZO YA MCHEZAJI BORA ULAYA,GOLI LAKE DHIDI YA BAYERN PIA LATWAA TUZO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top