Mpira ni pesa.Mpira ni mafanikio.Mpira siyo kucheza tu bila kuwa na kitu cha kuweka kumbukumbu.Hii ndiyo kiu kubwa ya mlinzi John Stones kwani habari kutoka Liverpool zinadau kuwa mlinzi huyo kinda ameamua kuiandikia barua klabu yake ya Everton ya kuitaka imuachie ajiunge na Chelsea.
Stones amefikia hatua hiyo baada ya Everton kuendelea kuzikataa ofa za Chelsea na kusisitiza kuwa nyota huyo hauzwi.Mpaka sasa Everton imeshakataa ofa tatu toka Chelsea kwa ajili ya mlinzi huyo wa kikosi cha U-21 cha England.

0 comments:
Post a Comment