728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, August 25, 2015

    BAADA YA KUACHANA NA NIANG,SIMBA SC YALETA MSENEGAL MWINGINE

    Simba sasa inaleta Msenagali mwingine kwa ajili ya kumjaribu.
    Hii ni baada ya kutorishishwa na yule Papa Niang aliyeelezwa ni mdogo wa Mamadou Niang.
    Taarifa kutoka ndani ya Simba zinaeleza, Pape Abdoulah Nd'aw kutoka Senegal na analetwa na wakala aliyemleta Kocha Dylan Kerr.
    Inaelezwa aliwahi kucheza soka barani Ulaya katika kikosi cha Bucharest ambako alivunja mkataba baada ya kutolipwa.
    Taarifa zinasema atawasili leo na Simba itakuwa na nafasi ya kumuona kabla ya kuamua. Hii ni uthibitisho kwamba Niang, anaondoka zake.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BAADA YA KUACHANA NA NIANG,SIMBA SC YALETA MSENEGAL MWINGINE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top