Manchester United iko mbioni kukamilisha usajili wa mshambuliaji Antony Martial toka klabu ya AS Monaco kwa kitita cha paundi milioni 36.Martil,19 ambaye anafananisha na nyota wa zamani wa Arsenal tayari amesafiri kwenda Manchester kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho baada ya kupewa ruhusa na kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps
TAZAM VIDEO UONE NYOTA HUYU ALIVYO NA KIPAJI CHA SOKA
0 comments:
Post a Comment