Unamkumbuka Phil Neville?Kwasasa yuko Hispania akifanya kazi kama mmoja wa makocha wa klabu ya Valencia.Hataki tena kusikia habari ya kuishi jiji la Mancester kwasasa.Akili yake iko Mestalla Valencia.Ameiweka sokoni nyumba yake ya kifahari iliyoko Cheshire.Cheshire ni mwendo wa nusu saa tu kwa gari mpaka uwanja wa mazoezi wa Man United Carrington training centre.Nyumba hii inauzwa kwa paundi milioni 3.5 tu..........hebu tazama soka linavyoleta vitu vizuri kama hivi,ishu ya bei achana nayo
Liverpool fan BURNS Trent Alexander-Arnold shirt in shocking protest
against star nearing Real Madrid move
-
On Tuesday, Mail Sport reported that Los Blancos remain confident of
signing Alexander-Arnold this summer - with sources in Spain suggesting the
move is 'a...
0 comments:
Post a Comment