London,England.
Ligi kuu nchini England kuendelea kutimua vumbi lake kesho jumamosi kwa vilabu 16 kuingia dimbani kusaka pointi tatu muhimu
Ifuarayo ni ratiba ya michezo hiyo na muda halisi
Jumamosi Agosti 29
14:45 Newcastle v Arsenal
17:00 Aston Villa v Sunderland
17:00 Bournemouth v Leicester
17:00 Chelsea v Crystal Palace
17:00 Liverpool v West Ham
17:00 Man City v Watford
17:00 Stoke v West Brom
19:30 Tottenham v Everton
Jumapili Agosti 30
15:30 Southampton v Norwich
18:00 Swansea v Man United
15:30 Southampton v Norwich
18:00 Swansea v Man United
0 comments:
Post a Comment