Marseille,Ufaransa.
Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Adadas imezindua jezi zake mpya katika tamasha lililopewa jina la "Be the difference" ambapo nyota kadhaa wakiziwakilisha timu zao katika mchezo wa soka ambao ulichezwa na timu mbili zilizokuwa zikiwakilishwa na nyota waili wawili kila upande.Katika mchezo ambao ulivuta hisia za wengi ni ule ulioshuhudia Manchester United ikilala kwa bao 3-1 toka kwa AC Milan
Vilabu ambavyo vilituma wawakilishi wake ni Manchester United,Chelsea,AC Milan,Juventus,Real Madrid na Bayern Munich.
0 comments:
Post a Comment