Camilleambaye anafanya kazi katika duka la Adidas kama muuzaji msaidizi ameonekana wiki hii akiwa amevaa jenzi yenye namba 28 yenye jina la Schneiderlin na ndipo watu walipoanza kufuatilia kulikoni na kisha kushikwa na butwaa baada ya kujua kiasi cha pesa anacholipwa kwa sasa moja katika duka hilo.
Wakati Morgan Schneiderlin akivuna kitita cha paundi 100,000 kwa wiki pale Manchester United,Camille yeye anavuna paundi 10 tu kwa sasa kiasi ambacho itamchukua miezi sita kufikia dau la wiki la mchumba wake Schneiderlin.
0 comments:
Post a Comment