Mshambuliaji aliyetupiwa virago katika klabu ya Simba, Elius Maguri amemwaga wino kuichezea Stand United.Maguri amejiunga na Stand United kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru.
Mshambuliaji huyo ameachwa na Simba baada ya Kocha Dylan Kerr kuutaka uongozi uachane na mchezaji huyo kwa madai kuwa kiwango chake kiko chini mno.
0 comments:
Post a Comment