728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 31, 2015

    INAUMA!!MIAKA MIWILI TU MAN UNITED YA FERGUSON KWISHA HABARI YAKE

    Baada ya Alex Ferguson kutangaza kuiacha Manchester United swali kubwa lilikuwa je ni nani wa kuchukua nafasi yake?Majina mengi yalitajwa lakini jina la David Moyes ndilo lililopenya katika chujio na hatimaye kukalia benchi la ufundi la Manchester United.Moyes akashindwa kuvivaa viatu vya Ferguson akaishiwa kutimuliwa na nafasi yake kuchukuliwa na Mdachi Luis Van Gaal....
         
    Ukitazama makocha hawa wawili Moyes na Van Gaal walivyokipangua kikosi kilichotwaa ubingwa wa EPL 2012/2013 kikiwa na Ferguson lazima roho ikuume.

    Nyota hawa walikuwa na Ferguson lakini kwa sasa hawapo tena Manchester United,Moyes na Van Gaal wameshawapiga bei kitambo

    • Jonny Evans - moved to West Brom last week
    • Bebe - sold to Benfica in cut-price deal
    • Robin van Persie - now at Fenerbahce after frustrating couple of seasons
    • Rio Ferdinand - moved to QPR, now retired
    • Nemanja Vidic - joined Inter Milan
    • Kiko Macheda - now at Cardiff after a series of loans
    • Shinji Kagawa - now thriving back at Dortmund
    • Angelo Henriquez - moved to Dynamo Zagreb after successful loan
    • Danny Welbeck - sold to Arsenal last summer
    • Darren Fletcher - now captain of West Brom
    • Anders Lindegaard - joining West Brom
    • David De Gea - in Real Madrid's sights
    • Alex Buttner - sold to Dynamo Moscow
    • Rafael Da Silva - moved to Lyon after failing to impress Van Gaal
    • Javier Hernandez - on brink of Leverkusen switch
    • Anderson - back in Brazil with Internacional
    • Mike Phelan - former assistant boss, now at Hull
    • Sir Alex Ferguson - retired after final title win
    • Paul Scholes - now a pundit after retirement
    • Rene Meulensteen - went on to manage Anzhi and Fulham
    • Tom Cleverley - sold to Everton in the summer
    • Patrice Evra - moved to Juventus

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: INAUMA!!MIAKA MIWILI TU MAN UNITED YA FERGUSON KWISHA HABARI YAKE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top