728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, August 22, 2015

    HADITHI YA MAN CITY NA DE BRUYNE YAZIDI KUNOGA

    Manchester, England.

    Baada ya gazeti la BILD toleo la jana ijumaa kuripoti kuwa Wolfsburg imekubali ofa ya €70m (£50.4m) kwa ajili ya kumuuza kiungo wake fundi Mbelgiji Kevin De Bruyne kwenda Manchester City, gazeti jingine la Sky Deutschland la leo jumamosi limeripoti kuwa nyota huyo huenda akacheza mchezo wake wa mwisho leo wakati Wolfsburg itakapokuwa ugenini kuvaana na FC Cologne katika muendelezo wa michezo ya Bundesliga.

    De Bruyne,24 ikiwa atatua Manchester City atakuwa ameweka rekodi ya kuwa nyota ghari zaidi kuwahi kusajiliwa na vigogo hao wa ligi ya EPL.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HADITHI YA MAN CITY NA DE BRUYNE YAZIDI KUNOGA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top