728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, August 23, 2015

    UNAZINGUA:MASHABIKI MAN UNITED WAMTAKA VAN GAAL AMUUZE HERRERA

    Manchester, England.

    Kwa nyakati tofauti sasa mashabiki wa Manchester United wamekuwa wakiendelea na mijadala mizito katika mitandao ya kijamii hasa twitter wakijadili hatma ya kiungo wao kipenzi Ander Herrera na kulaani kitendo cha kocha wao mkuu Luis Van Gaal kuendelea kumbania nyota huyo wa zamani wa Athletic Bilbao.

    Mjadala huo ulizidi kupamba moto jana jumamosi baada ya mchezo ya Manchester United kulazimishwa sare tasa ya 0-0 na Newcastle United katika mchezo mkali wa ligi kuu uliopigwa katika dimba la Old Trafford.

    Mashabiki hao wameonyeshwa kukerwa zaidi na Van Gaal hasa baada ya kocha huyo kuwapa nafasi ya kucheza katika mchezo huo nyota Michael Carrick, Javier Hernandez na Antonio Valencia.Mashabiki hao wamejaribu kwenda mbali hata kufikia hatua ya kumtaka Van Gaal amuuze Herrera na kusisitiza kuwa kiungo huyo hastahili kuendelea kuwekwa benchi wakati ndiye mchezaji wao bora zaidi.

    Huu hapa mjadala wa mashabiki hao...

    James
    @writtenoff_mufc
    19 HOURS AGO
    Some team needs to buy Herrera. He doesn't deserve this treatment.
    Keith Russell
    @Keith_Russell
    19 HOURS AGO
    No Herrera again. Wow.
    Doron Salomon
    @DoronSalomon
    18 HOURS AGO
    Don't think we were bad but that should have been a comfortable win. Coloccini excellent and would have liked to have seen Herrera as a 10
    Jack
    @jackmufc92
    18 HOURS AGO
    What does herrera have to do to get a game
    United Watch
    @United_Watch_
    19 HOURS AGO
    Frustrating how little of a chance LVG is giving Herrera.
    Shanta Moyes
    @masteroogwaay
    18 HOURS AGO
    What on earth does herrera have to do to get a game.
    The Twelfth Man
    @_The12thMan
    19 HOURS AGO
    Herrera is Man Utd's best player. Why he's not playing shows nothing but negligence from LvG.
    Sir Jenkinson
    @theEpicGooner
    18 HOURS AGO
    Herrera is their most creative player and he is benched. He is a top class player, but, he didnt come on as a sub.
    Paul Ander Jackson
    @PaulJackson1989
    18 HOURS AGO
    Herrera is arguably our most creative player and he's sat rotting on the bench
    Shibani
    @shibani_10
    20 HOURS AGO
    Quickest way to make money: Bet on Herrera not starting for United

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: UNAZINGUA:MASHABIKI MAN UNITED WAMTAKA VAN GAAL AMUUZE HERRERA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top