Monte Caro (Monaco),Ufaransa.
Makundi ya msimu mpya wa ligi ya mabingwa barani Ulaya maarufu kama "Champions League" yamepangwa jioni hii huko Monte Caro,Monaco Ufaransa.
Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi lake Septemba 15-16 na mchezo wa fainali kupigwa Mei 28 katika dimba la San Siro,Italia.
DROO KAMILI
Group A: Paris Saint-Germain, Real Madrid, Shakhtar Donetsk, Malmo
Group B: PSV, Manchester United , CSKA Moscow, Wolfsburg
Group C: Benfica, Atletico Madrid, Galatasaray, Astana
Group D: Juventus, Manchester City, Sevilla, Borussia Monchengladbach
Group E: Barcelona, Bayer Leverkusen, Roma, BATE
Group F: Bayern Munich, Arsenal, Olympiakos, Dinamo Zagreb
Group G: Chelsea , Porto, Dynamo Kiev, Maccabi Tel-Aviv
Group H: Zenit, Valencia, Lyon, Gent
0 comments:
Post a Comment