London,England.
Kama ulidhani kile kipigo cha bao 3-0 toka Man City ilichokipata Chelsea jumapili iliyopita kingetulizwa na usajili wa Pedro andika umeumia.
Ishu iko hivi kutoka gazeti maarufu wa England la Daily Mail habari zinasema Chelsea inajiandaa kuvunja benki kwa kufanya usajili mwingine wa nguvu kwa kumsajili mlinzi wa Everton John Stones,21 na kiungo wa Juventus Paul Pogba,23.
0 comments:
Post a Comment