Unamkumbuka nyota wa zamani wa Liverpool Mjerumani Didi Hamann?Hivi sasa jamaa ana miaka 41 baada ya kuona anapoteza nywele nyingi na kuanza kutoka kipara kwa kasi ameamua kupandikiza nywele kama alivyowahi kufanya nyota wa Manchester United Wayne Rooney ili awe na muonekano mzuri kama ule wa zamani.
Akihojiwa sababu ya kufanya hivi Hamann amesema nachukia kipara.Nimepata nguvu ya kufanya hivi baada ya kuona Wayne Rooney amefanikiwa.
Shughuri ya upandikizwaji wa nywele hizo [4,000] umeongozwa na daktari Asim Shahmalak wa Crown Clinic,Manchester.
0 comments:
Post a Comment