Kevin De Bruyne atakamilisha leo usajili wa kujiunga na klabu ya Manchester City hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Wolfsburg Klaus Allofs.Gazeti la The Daily Mail limeripoti kuwa dau la £54m ($83m) ndilo lililofanikisha kila kitu na hii itaifanya Manchester City kuwa imetumia £150m ($231m) baada ya kuwasajili Raheem Sterling, Nicolas Otamendi, Fabian Delph, Patrick Roberts, Enes Unal na David Faupala.
Huenda tukashuhudia mambo mawili makubwa katika siku hizi mbili kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili Ulaya.Kutoka Daily Star habari zinasema Manchester United imepeleka ofa katika klbu ya Real Madrid kwa ajili ya kumsajili winga Gareth Bale.Ofa hiyo ya £65m pia itamjumuisha kipa David De Gea.(Daily Star).Tusubiri
0 comments:
Post a Comment