Hakuna ustaa hapa ni sheria tu!!Nyota wa Manchester United Memphis Depay chupuchupu alimwe faini kubwa baada ya kupaki gari lake sehemu isiyoruhusiwa na kusababisha usumbufu kwa wengine.

Depay alikutwa na tukio hilo nje ya duka la Harvey Nichols alipokwenda kufanya manunuzi katika eneo hilo na ndipo alipopaki hovyo gari lake Mercedes lenye dhamani ya £120,000.

0 comments:
Post a Comment