728x90 AdSpace

Wednesday, August 19, 2015

HIVI NDIVYO PEDRO ATAKAVYOONEKANA AKIWA NA JEZI YA CHELSEA

Baada ya kupata taarifa na Man United kuachana na mpango wa kumsajili Pedro na kisha Chelsea kuwa mstali wa mbele kuipata saini ya winga huyo teleza wa FC Barcelona basi hivi ndivyo nyota huyo atakavyokuwa akionekana katika jezi za Chelsea.Yote hii itatimia ikiwa FC Barcelona na Chelsea FC zitakubaliana dili hilo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: HIVI NDIVYO PEDRO ATAKAVYOONEKANA AKIWA NA JEZI YA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Unknown