728x90 AdSpace

Wednesday, August 26, 2015

MAKUNDI UEFA KUTANGAZWA KESHO ALHAMISI,MAMBO YATAKUWA HIVI

 Makundi ya ligi ya mabingwa yanatarajiwa kupangwa kesho alhamisi huko Monaco lakini leo UEFA imekuwa na mchanganuo unaoonyesha ni timu ipi itaingi chungu kipi baada ya matokeo ya michezo ya usiku wa leo

Mchanganuo huu hapa

Pot 1: Barcelona, Chelsea, Bayern Munich, Juventus, Benfica, Paris Saint-Germain, Zenit St. Petersburg na PSV Eindhoven.

Pot 2: Real Madrid, Atletico Madrid, Porto, Arsenal, Manchester City, Valencia - pamoja na vilabu viwili kutoka kati ya Manchester United, Bayer Leverkusen, Shakhtar Donetsk, Sevilla.

Pot 3: Olympiakos, Galatasaray, Lyon, Dynamo Kiev, Roma - pamoja na vilabu vitatu kati ya Shakhtar Donetsk, Sevilla, Sporting Lisbon, CSKA Moscow, Lazio, Bruges, APOEL, BATE.

Pot 4: Borussia Monchengladbach, Wolfsburg, Dinamo Zagreb, Maccabi Tel Aviv, Gent, Malmo - pamoja na vilabu viwili kati ya APOEL, BATE, Partizan, Astana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MAKUNDI UEFA KUTANGAZWA KESHO ALHAMISI,MAMBO YATAKUWA HIVI Rating: 5 Reviewed By: Unknown