728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, August 24, 2015

    HUYU HAPA PACHA WA LUIS SUAREZ ANAYEWACHANGANYA MASHABIKI WA LIVERPOOL

    Wakati mashabiki wa Liverpool wakijinadi kuwa kuna Luis Suarez mmoja tu duniani hawakujua kuwa kuna pacha wake.Pichani ni shabiki mkubwa wa Liverpool ambaye amekuwa akiwachanganya watu kwa jinsi anavyofanana na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Luis Suarez
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HUYU HAPA PACHA WA LUIS SUAREZ ANAYEWACHANGANYA MASHABIKI WA LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top