Mlinda mlango wa Arsenal Emiliano Martinez amejiunga kwa mkopo wa msimu mmoja na klabu ya Wolves

Mshambuliaji Seydou Doumbia ameihama Roma na kurejea CSKA Moscow kwa mkopo baada ya kushindwa kupata namba katika kikosi cha kocha Rui Garcia

Mreno Bernado Silva ameongeza mkataba mpya katika klabu ya Monaco
Monaco imemsajili kiungo Gabriel Boschilia kutoka Sao Paulo ya Brazil

0 comments:
Post a Comment