Yanga imepata sare ya pili mfululizo baada ya kumaliza dakika 90 dhidi ya Ruvu Shooting bila bao.
Sare hiyo inakuwa ni ya pili kwa
Kocha Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi ambaye amerejea kuinoa Yanga.
Katika mechi hiyo ya leo kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar, Yanga
ilipoteza zaidi ya nafasi tatu za
kufunga kupitia Simon Msuva, Amissi Tambwe na Andrey Couinho.
Kipindi cha pili kilionekana kuwa
kigumu kwao na zaidi ubabe ulitawala zaidi katika mechi hiyo ya leo huku wachezaji wa Shooting wakimzonga mwamuzi kila mara.
Matokeo Mengine Vpl
Stand Untd 0-1 Azam Fc
Ndanda Fc 0-2 Simba Sc
Kagera 0-1 Mbeya City
0 comments:
Post a Comment