Guinea.
Michuano ya robo fainali ya kombe la mataifa bingwa ya Afrika inatazamiwa kuanza kutimua vumbi lake kesho jumamosi kwa miamba minne kushuka dimbani kuonyeshana umwamba wa kusukuma gozi la ng'ombe.
Ratiba ya michezo hiyo iko kama ifuatavyo.....
Jumamosi Januari 31,2015.
1900 Congo v Congo DR (Estadio de Bata)
2200 Tunisia v Equatorial Guinea (Estadio de Bata)
Jumapili Februari 1,2015.
1900 Ghana v Guinea (Estadio de
Mongomo)
2200 Ivory Coast v Algeria (Nuevo Estadio de Malabo)
0 comments:
Post a Comment