London,England.
Baada ya klabu ya Bradford City kuifunza soka klabu ya Chelsea na kuibanjua kwa magoli 4-2 na kuitupa nje ya michuano ya kombe FA jana jumamosi mengi yameongewa ikiwemo thamani ya klabu hiyo ya daraja la kwanza.
Ifuatayo ni orodha na thamani ya vikosi vyote viwili.....
CHELSEA FC
PETR CECH: 7m
KURT ZOUMA: 12m
GARY CAHILL: 7m
CESAR AZPILICUETA: 6.5m
RAMIRES: 20m
OSCAR: 25m
JOHN OBI MIKEL: 4m
MOHAMED SALAH 11m
DIDIER DROGBA bure
LOIC REMY 8.5m
Benchi: Cesc Fabregas - 30m,Nathan Ake - Eden Hazard - 32m, Thibaut Courtois- 5m, Willian - 32m, John Terry -5m
Thamani: 200m
BRADFORD CITY
BEN WILLIAMS: bure
STEPHEN DARBY: bure
RORY McARDLE: bure
ANDREW DAVIES: bure
JAMES MEREDITH: bure
BILLY KNOTT: bure
GARY LIDDLE: bure
FILIPE MORAIS: bure
ANDY HALLIDAY: bure
JAMES HANSON: 7,500
JON STEAD: mkopo
Benchi: Alan Sheehan - bure, Billy Clarke - bure,Francois Zoko - mkopo,Mark Yeates - bure,Jason Kennedy - bure,Christopher Routis - bure,Matthew Urwin - bure.
Thamani: 7,500
0 comments:
Post a Comment