SWANSEA vs CHELSEA
18:00
The white rock ama waite Swansea watakuwa uwanja wa nyumbani Liberty Stadium kucheza na Chelsea.
Kocha Monk na timu yake leo wana anza maisha mapya pasipo na Bonny ambae kwa sasa ni mchezaji wa Man City, hivyo pale mbele Gomis anatarajiwa kuongoza mashambulizi.
Jonjo Shelvey bado anatumikia adhabu huku Ki Sung-yueng akiwa ktk timu yake ya taifa Korea Kusini kwenye michuano ya ASIA. Matarajio ni Gylfi Sigurdsson na Jefferson Montero wao wanatarajiwa kurejea leo baada ya majeraha.
Kumbuka the white rock wamefungwa michezo 5 na kutoka sare michezo 2 katika michezo 7 waliyocheza na Chelsea kwenye ligi.
Kwa upande wa Mourinho ambaye ndiye kocha bora wa karne kule Ureno kikosi chake kitamkosa Azplicueta ambaye ni majeruhi ila mbadala beki mnyumbulifu Luis yupo fiti, pia huenda Cech aka simama langoni kama Court bado hajawa fiti.
Chelsea wapo kileleni ktk msimamo wa ligi kwa point 49 huku Costa nae akiwa kileleni kwa upande wa magoli 15 bila kusahau Fabrepass ndiye top assist mpaka sasa. Tutaraji mchezo mzuri kwa pande zote huku tukichagizwa na mbwembwe za Hazard.
DON'T MIS'::
TODAY-AFCON
Choi with George Weah.
Choikangta.ckt@gmail.com
T's up-0765 691418
0 comments:
Post a Comment