728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, January 20, 2015

    MPYA KATIKA USAJILI LEO JUMANNE HIZI HAPA

     

    Reid:Mlinzi wa klabu ya Westham United Winston Reid ameiambia klabu yake hiyo kupokea ofa yoyote itakayoletwa na klabu ya Arsenal kwa ajili ya kumsajili vinginevyo ataondoka bure hapo mwezi juzi pindi mkataba wake
    utakapoisha.

    Pique:Klabu ya Manchester United imepanga kutoa kitita cha £15m kwa ajili ya kumsajili tena mlinzi wake wa zamani Gerrard Pigue,27.

    Schurrle:Klabu ya Wolfsburg inajipanga kutoa kitita cha £23m kwa ajili ya kumsajili winga Andre Schurrle 24 lakini klabu yake ya Chelsea inataka £30m.

    Wenger:Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema klabu yake haina mpango wa kumsajili kiungo wa klabu ya Real Madrid Sami Khedira januari hii.

    Maxim:Ofa ya £5.5m ya klabu ya Swansea City kwa ajili ya kiungo Alexandru Maxim imekataliwa na klabu yake ya Stuttgart kwa madai kuwa ni ndogo mno.

    Hummels:Mlinzi wa klabu ya Borussia Dortmund Matt Hummels amevikata maini vilabu vya Manchester Uniter na Arsenal baada ya kutangaza kuwa hana mpango wa kuihama klabu hiyo kwa sasa.

    De Gea:Klabu ya Manchester United imesema itakuwa tayari kumuuza mlinda mlango wake namba moja David De Gea ikiwa tu dau la £50m litawekwa mezani.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MPYA KATIKA USAJILI LEO JUMANNE HIZI HAPA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top