Dar es salaam
Klabu ya Simba imekubali kichapo cha goli 2-1 toka klabu ya Mbeya City katika mchezo wa mkali ligi kuu uliokwisha jioni hii katika uwanja wa taifa.
Simba ilipata goli lake kupitia kwa mshambuliaji wake kinda Ibrahim Hajib kabla ya Mbeya City kuzitwaa pointi tatu kwa magoli ya Yusuf Abdallah na
Hamad Kibopile.
Kufuatia kichapo hicho Simba imebaki na alama zake 13 baada ya kucheza michezo 11
0 comments:
Post a Comment